Music lessons Dar es Salaam
Posted by
Lifterstech
Private Dar es Salaam, Tanzania, TZ
Ad Details: Music lessons Dar es Salaam, Tanzania, TZ
Price: TZS 200,000
Mafunzo ya Muziki kwa Kiwango cha Juu
Tunatoa mafunzo bora ya muziki kwa wanaoanzia ngazi ya Beginner hadi Intermediate. Mafunzo yanayopatikana ni:
1. Ufundi Mitambo wa Muziki (Sound Engineering):
• Beginner & Intermediate Levels.
2. Mafunzo ya Vyombo vya Muziki:
• Kinanda.
• Gitaa.
• Drums.
3. Mafunzo ya Vocal:
• Kuimarisha sauti na mbinu za uimbaji.
Darasani: Mafunzo yanaendelea darasani kwa vitendo.
Tupo: Sinza Bamaga, Opposite na Chuo cha Ustawi wa Jamii, Dar es Salaam.
Nafasi: Zinaendelea kujaa! Hakikisha unajiandikisha mapema.
Kwa mawasiliano zaidi:
Simu:
Barua pepe:
Karibu ujifunze kwa vitendo na wataalamu!

✅ Do not forget to mention AFRIBABA during your call!
✅ Apply for this job offer
Contact the advertiser
Lifterstech
Report any scams attempts
Tanzania
- Published: 28 Jan 2025 - 18:01
- Visits: 200
Most Popular Searches